IQNA – Wanasayansi watatu mashuhuri ambao ni Mohammad K. Nazeeruddin kutoka India, Mehmet Toner kutoka Uturuki, na Vahab Mirrokni kutoka Iran wametangazwa kuwa washindi wa Tuzo ya Mustafa (SAW) ya mwaka 2025.
Habari ID: 3481206 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/09
TEHRAN (IQNA) – Uteuzi kwa awamu ya tano ya Tuzo ya Mustafa SAW umefunguliwa.
Habari ID: 3475041 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/14
Kwa mnasaba wa Maulid ya Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA)- Wanasayansi watano Waislamu wametunukiwa zawadi ya Tuzo ya Mustafa SAW ya mwanasayansi bora katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka huu wa 2021.
Habari ID: 3474454 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/22
TEHRAN (IQNA)- Mkurugenzi wa Taasisi ya Mustafa (saw) amesema kuwa wanasayansi watano Waislamu wametunukiwa tuzo ya taasisi hiyo ya mwanasayansi bora katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka huu wa 2021.
Habari ID: 3474418 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/13
TEHRAN (IQNA)-Washindi wa Tuzo ya Kimataifa ya Sayansi ya Mustafa SAW (MSTF) wameenziwa katika sherhe iliyofanyika Jumapili mjini Tehran.
Habari ID: 3471297 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/05